MAALIM SELF AKATAA MAAMUZI YA ZEC , ATOA TAMKO ZITO
Kwa ufupi kazungumziaa yafuatayo.
1. Mwenyekiti wa ZEC hana mamlaka ya kufuta uchaguzi
2. Anahoji kwa nini Makamu wa ZEC akamatwe na vikosi vya ulinzi na kupelekwa pasipojulikana
3.Kama uchaguzi umefutwa kutokana na dosari, basi hata wa rais wa jamhuri ufutwe kwani wote hao waliandikishwa kwenye daftari moja na kudumu zanzibar na walipiga kura kituo kimoja.
4. Hatambui maamuzi ya mwenyekiti wa ZEC kwani hakuna kikao cha tume kilichokaa kukubaliana na hilo na pia kusema kwamba hayo ni maamuzi binafsi ya mwenyekiti
5. Anaiomba umoja wa kitaifa na nchi jirani kuingilia kat
No comments
COMMENT