KAULI YA KWANZA YA ZITO KABWE BAADA YA KUSHINDA UBUNGE KUPITIA ACT ;ADAI ATAINGIAJE BUNGENI BILA DEO FILIKUNJOMBE



Zitto Ameandika Haya Kwenye Ukurasa Wake wa Faceook Baada ya Taarifa za ushindi wake:

Manispaa ya kwanza kuwa chini ya chama cha ACT Wazalendo - Kigoma Ujiji Municipal Council

Kwa Heshima ya ndugu yangu Deo Haule Filikunjombe. Kwangu mimi baada ya kifo cha ndugu yangu uchaguzi huu haukuwa na maana yeyote. Hata sijui nitaingiaje bungeni bila Deo. Asante watu wa Kigoma kwa kumpa heshima kubwa Deo wangu

No comments

COMMENT

All rights are recieved.. Powered by Blogger.