WOLPER ASHIKILIA MSIMAMO WAKE WA KUBAKI UKAWA
"Msijali Mashabiki siasa zikiisha maisha yetu yanaenda kama kawaida Maana sisi zetu kamera siyo viti vyekundu ila hapa pipozii tuu paka kieleweke"–Wolper aliandika kwenye mtandao wa instagram.
Pia kwenye moja ya posti zake wkkenyemtandao huo huo wolper alisisitiza kubaki kuwa team mabadiliko
“...Ni bora kuwa kaisari kuliko kuwa yuda mimi nitabaki kuwa Jacq Lowassa”
No comments
COMMENT