+25 Billy Jones wa Sunderland, akijaribu kuondosha mpira miguuni mwa Ben Davies wa Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Light. Spurs imeshinda 1-0 bao pekee la Ryan Mason dakika ya saba
No comments
COMMENT