Tangu tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni za Ukawa,Lowassa ameendelea kuwa gumzo sehemu mbali mbali anapofanya mikutano ya kampeni zake.
Jana Sept 10,Lowassa alikuwa Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo Kibaigwa katika uwanja wa Amani
No comments
COMMENT