JUX AFUNGUKA KUHUSU JACKIE ALIYE KUWA GIRLFRIEND WAKE
“Yeah tunawasiliana tunaongea,” amesema Jux. “Anajua kila kitu kinachoendelea. Tunaongea vizuri, yuko poa kabisa na habari za Bongo kila kitu anajua yaani,” Jux alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa TV.
“Kuna habari nyingine hata mimi nashangaa anajuaje, kwa sababu kuna rafiki zake wengine wanaenda kumuona, pia mimi ni kijana I want to move on in my life, na yeye mwenyewe anajua inabidi niendelee na maisha, kikubwa zaidi tunawasiliana na hatuna mahusiano yoyote mabaya
No comments
COMMENT