BAADA YA UJAUZITO MCHUMBA WAKE NE_YO ATANGAZA KUOA
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ne-Yo ameweka wazi mahusiano yake baada ya tetesi kuzagaa kwamba anatoka na binti mrembo ambaye pia ni mwanamitindo Crystal Renay.
Ne–Yo ambaye hivi karibuni alikuwa bara la afrika kwa shughuli za kimuziki aliamua kuandika wenye akaunti yake ya twita, ni kweli anatoka na binti huyo na tayari ameshakuwa mchumba wake huku wakitarajia kufunga ndoa mwakani.
Ne–Yo pia amefunguka kwamba mchumba wake huyo kwa sasa ni mjamzito na wanatarajia kupata mtoto.
No comments
COMMENT