Hatua ya upangwaji makundi ya UEFA iliambatana sambamba na kumchagua mchezaji bora wa mwaka wa Ulaya, waliyokuwa wanawania tuzo hiyo ni Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez.
Lionel Messi ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya kwa mwaka 2014/2015,
“Ni furaha kwa wote hii ni kwa ajili ya wachezaji wenzangu wote kwa sababu bila ushirikiano mimi nisingekuwa hapa hii tuzo ni kwa ajili ya timu nimefurahi sana”>>> Messi

No comments
COMMENT